Naibu Gachagua atoa wito kwa Gen-Z kusitisha maandamano yao dhidi ya serikali

  • | K24 Video
    85 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa Gen-Z kusitisha maandamano yao dhidi ya serikali, akielezea wasiwasi wake kuhusu uwezekano wa uharibifu zaidi wa mali na kupoteza maisha kutokana na kujipenyeza kwa makundi yenye nia ovu. Gachagua, akizungumza wakati wa ibada katika kanisa la PCEA huko Kayole, alisisitiza kuwa malalamishi ya waandamanaji yamesikika na yanashughulikiwa