Naibu Rais Gachagua aahidi usalama wa kutosha Lamu

  • | Citizen TV
    1,143 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amesisitizia juhudi za serikali kuimarisha usalama katika kaunti ya lamu ili kuzuia mashambulizi ya kigaidi.