Natembeya akosoa amri ya Ruto iliyofutilia mbali msasa kukabidhiwa vitambulisho

  • | NTV Video
    1,520 views

    Gavana wa kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya ndio wa hivi punde kukosoa amri ya Rais William Ruto, iliyofutilia mbali msasa uliokuwa ukifanyiwa wenyeji wa eneo la Kaskazini Mashariki kabla ya kukabidhiwa vitambulisho.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya