Nchi zatikwa kuwainisha mikakati yao

  • | KBC Video
    14 views

    Siku ya kutoa tahadhari kuhusu mabadiliko ya tabianchi mwaka huu iliadhimishwa huku mataifa yakihimizwa kuwianisha mikakati yao na kuhakikisha zinashinikiza marekebisho kabambe ili kudhibiti athari za mabadiliko ya hali ya anga. Kwenye kikao chao jijini Nairobi wana-harakati waliangazia kupanda kwa viwango vya joto duniani ambavyo vimefikia nyuzi-1.5 na pia utekelezaji wa mkataba wa Paris uliosainiwa mwaka-2025

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive