'Ndani ya saa sita za kuwasiliana, mwanangu alijiua'

  • | BBC Swahili
    466 views
    Mvulana mmoja alijiua saa sita tu baada ya 'walaghai' kutishia kuchapisha picha zake za utupu kwenye mitandao. - Jordan DeMay alifariki mwaka 2022 baada ya ndugu wawili Samuel na Samson Ogoshi, kutoka Nigeria kumdanganya atume picha hizo wakijifanya kuwa ni msichana wa rika lake na baadaye kutishia kumchafua kwa kutuma picha hizo za uchi kwenye mtandao. - Wanaume hao wawili sasa wanasubiri kuhukumiwa huku pia Wanigeria wengine wawili wamekamatwa baada ya mvulana wa Australia kujiua mwezi Aprili. - - - #bbcswahili #nigeria #uhalifumtandaoni #uhalifu