Ndoto ya mkazi yaelekeza kugunduliwa kwa maiti eneo la Kware, Nairobi

  • | Citizen TV
    8,793 views

    Na sasa tuangazie ndoto ya kustaajabisha inayoaminika kuwa ilisababisha kugunduliwa kwa miili kadhaa ya watu waliouwawa kwa njia ya kutatanisha. Miili hiyo ilipatikana ikiwa imekatwa katwa na kupwekwa kwenye magunia yaliyotupwa katika mgodi wa Kware, mtaani Pipeline hapa jijini Nairobi. Serfine Achieng’ Ouma ana taarifa ya simulizi ya familia moja inayosema jamaa wao aliyetoweka aliwapa maelezo kupitia ndoto kuhusu eneo watakapopata mwili wake.