Ndovu waharibu mimea na kusababisha hasara Igembe

  • | Citizen TV
    164 views

    Wakazi wa kijiji cha Kileera kilichoko wadi ya Ntunene eneo bunge la Igembe North kwa mara nyingine wanakadiria hasara kubwa msimu wa kuvuna baada ya ndovu waharibifu kuvamia mashamba yao na kusababisha hasara.