NEMA yapinga kilimo karibu na vyanzo vya maji

  • | Citizen TV
    118 views

    Mamlaka ya usimamizi wa mazingira nchini ((NEMA) imeonya wakaazi wa kaunti ya Kwale dhidi ya kufanya shughuli za kilimo karibu na vyanzo vya maji na kando ya mito.