Nyumba za Gharama Nafuu I Waziri wa ardhi akutana na mhubiri James Ng’ang’a

  • | KBC Video
    155 views

    Waziri wa ardhi Alice Wahome amekanusha madai kuwa mfanyabiashara tata kutoka nchini Uturuki Harun Aydin aliyefurushwa humu nchini mwaka-2021 amepewa zabuni ya kujenga nyumba elfu-10 humu nchini chini ya mpango wa nyumba za gharama nafuu. Wizara hiyo hata hivyo, inasema Aydin alikuwa amewasilisha ombi la kupewa zabuni hiyo lakini hakufua dafu. Waziri aliyasema hayo baada ya mkutano na mhubiri James Ng’ang’a ambaye alinakiliwa akimfokea mwanamke aliyemuomba msaada wa kulipa kodi ya nyumba na badala yake akamwagiza kutafuta usaidizi katika mpango wa nyumba za gharama nafuu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive