Polisi jijini Nakuru wawakamata washukiwa wawili wanaouza dawa ghushi za wadudu

  • | Citizen TV
    96 views

    Maafisa Wa Usalama Jijini Nakuru Kwa Ushirikiano Na Maafisa Wa Bodi Ya Kudhibiti Dawa Za Wadudu PCPB Wamewakamata Washukiwa Wawili Wanaoaminika Kusambaza Dawa Ghusi Za Wadudu.