Polisi kukamata magari ya super metro barabarani baada ya leseni yao kupigwa marufuku

  • | Citizen TV
    9,962 views

    Magari yote ya usafiri ya super metro yatakamatwa iwapo yatapatikana barabarani. Hii ni baada ya kamanda wa trafiki nairobi Fredrick Ochieng kudhibitisha kupokea barua kutoka kwa mamlaka ya usafiri ntsa. Haya yanajiri huku maafisa wa kampuni hiyo wakienda mahakamani kupinga kufutiliwa mbali kwa leseni za magari yao wakidai kuwa ni dhuluma.