Polisi wachunguza visa vya mauaji ya familia Nyamira

  • | Citizen TV
    701 views

    familia moja kutoka kijiji cha nyasio eneo bunge la mugirango kaskazini kaunti ya nyamira inahofia usalama wao kufuatia mauaji tatanishi ya jamaa wao sita. kisa cha punde zaidi ni cha siku ya jumanne, ambapo jane nyaboke onyoni mwenye umri wa miaka 67 na wanawe wawili edna monyangi na lorna kerubo walinyongwa. polisi wameanzisha uchunguzi kuhusiana na mauaji hayo