Polisi wamenasa magunia saba ya bangi Kiganjo

  • | Citizen TV
    7 views

    Maafisa wa polisi wamenasa magunia saba ya bangi yenye thamani ya shilingi milioni sita katika mtaa wa Kiganjo eneo bunge la Thika