Polisi wapewa mafunzo kuhusu changamoto za usalama Haiti

  • | Citizen TV
    936 views

    kikosi cha tatu cha maafisa wa polisi wanaotumwa nchini Haiti kimeanza mafunzo na mazoezi maalum ya kujifahamisha na changamoto za kiusalama za taifa hilo.