- 4,186 viewsDuration: 2:40Washukiwa zaidi ya 300 wamekatwa jijini nairobi baada ya msako wa polisi kuhusu visa vya uhalifu. Kwa mujibu wa polisi baadhi ya waliokamatwa walipatikana na bidhaa kadhaa ambazo zilikuwa zimeripotiwa kupotea katika matukio ya uhalifu.