Polisi wawakamata washukiwa watatu wa wizi wa mifugo Kakamega

  • | KBC Video
    148 views

    Polisi katika eneo bunge la Mumias mashariki , kaunti ya Kakamega wamewakamata washukiwa watatu na kupata ng’ombe 26 walioibwa kutoka vijiji vya Emahola, Emulambo, Bumini, Mwikali, na Mung’ang’a.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive