Mahojiano ya mwenyekiti na makamishna wa IEBC kuanza Jumatatu

  • | KBC Video
    20 views

    uhudi za kuhakikisha uongozi mpya katika tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka (IEBC) zinaingia katika hatua muhimu hapo kesho, huku mahojiano ya nyadhifa za mwenyekiti na makamishna yakianza. Mahojiano hayo ya wazi yatakayoendeshwa na jopo la uteuzi, yatafanyika katika taasisi ya bima iliyo mtaa wa South C jijini Nairobi, huku wawaniaji 11 wakitarajiwa kupigania nafasi ya mwenyekiti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive