Skip to main content
Skip to main content

Radio Citizen yashirikiana na waumini Kawangware kuhamasisha lishe bora

  • | Citizen TV
    146 views
    Duration: 1:32
    Watangazaji wa Radio Citizen walijumuika na waumini wa Kanisa la Kisima, mtaani Kawangware, kwa ibada ya Jumapili. Kampuni ya Royal Media Services kwa ushirikiano na Joy Millers, watengenezaji wa unga wa Raha Premium, waliendeleza msururu wa mikutano na wasikilizaji wao mashinani. Kwa siku tatu, Royal Media imekuwa Kawangware kwa shughuli mbalimbali za kuhamasisha jamii kuhusu lishe bora, kwa hisani ya Joy Millers. Kipindi cha injili cha Pambazuka kwenye Radio Citizen kilipeperushwa mubashara kutoka Kawangware.