Rai za viongozi wa dini

  • | Citizen TV
    734 views

    Siku moja kabla ya hoja ya kumbandua ofisini naibu wa Rais Rigathi Gachagua kusikizwa katika Bunge la Seneti, viongozi wa makanisa kaunti ya Kisii wamerai Seneti kutekeleza wajibu wao bila kushurutishwa na kuzingatia utaifa.