Raila aitembelea familia ya marehemu Mambo Mbotela

  • | Citizen TV
    4,365 views

    Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga ameitembelea familia ya leonard mambo mbotela kuomboleza nao. Raila kwenye rambirambi zake akimkumbuka mbotela sio tu kama mwanahabari shupavu bali rafiki na mwandani wake wa karibu katika masuala ya kisiasa.