Rais William Ruto ameusuta upinzani akisema hauna ajenda ya kuliendeleza taifa hili. Huku akitetea mkakati wake wa serikali jumuishi, rais Ruto aliyezindua miradi kadhaa ya maendeleo katika kaunti ya Samburu, halikadhalika alisema maeneo yote hapa nchini sharti yafaidike na mgao sawa wa rasilimali za kitaifa licha ya miegemeo tofauti ya kisiasa. Giverson Maina ana taarifa hiyo kwa kina.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive