Rais mstaafu Uhuru Kenyatta apuuza lawama kuwa alichangia uchumi mbaya

  • | Citizen TV
    15,619 views

    Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta amevunja kimya chake dhidi ya shutuma za serikali ya Rais William Ruto kuwa serikali iliyotangulia imechangia hali ngumu ya maisha nchini. Uhuru sasa akimtaka Rais Ruto kukoma kumlaumu wakati ambapo anashindwa na majukumu yake ya kupunguza gahrama ya maisha. Rais huyu mstaafu akizungumza alipohudhuria ibada na viongozi wa upinzani eneo la Mwingi kaunti ya Kitui pia amesema atasalia katika muungano wa Azimio na hata tishwa kuondoka kwenye muungano huo.