Rais-mteule Mahama aeleza Elimu ya Sekondari itabakia kama ilivyo...

  • | VOA Swahili
    394 views
    Katika mahojiano maalum na mwandishi wa VOA Paul Ndiho, mjini Accra, Ghana, wikiendi Rais-mteule wa Ghana John Mahama anaeleza dira yake katika kuboresha elimu kwa ajili ya vijana wa Ghana. Anafafanua kuhusu swala la elimu kutolewa bure nchini Ghana. Endelea kusikiliza… #ghana #accra #raismteule #johnmahama #dira #elimu #vijana #elimubure #voa #voaswahili