Rais Ruto afanya mkutano wa kwanza na mawaziri wapya

  • | Citizen TV
    3,049 views

    Rais William Ruto leo ameongoza mkutano wake wa kwanza uliojumuisha baraza lake na mawaziri na makatibu wa wizara katika Ikulu ya Nairobi. Rais akiwaonya maafisa hawa wakuu wa wizara dhidi ya kujihusisha na ufisadi na badala kuhakikisha uwajibikaji. Rais akiwataka mawaziri wake wapya kuweka kando misimamo ya kisiasa na kuwatumikia Wakenya.