13 Nov 2025 1:39 pm | Citizen TV 8,127 views Duration: 1:32 Rais William Ruto ameendelea kujipigia debe kwenye ziara yake ya eneo la Ukambani, akisema wapinzani wake hawana mpango wowote wa kubadilisha Kenya