Rais Ruto arejelea safari

  • | Citizen TV
    1,351 views

    Baada ya miezi miwili iliyokumbwa na msukosuko wa serikali yake, Rais William Ruto siku ya jumapili aliondoka nchini kwa mara ya kwanza kwa safari ya nje ya kenya. Rais alisafiri kuelekea nchini rwanda ambako alihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Paul Kagame kwa muhula wa nne wa urais