Rais Ruto ashikilia kuwa ataendelea na ujenzi wa makanisa

  • | K24 Video
    463 views

    Rais William Ruto ameshikilia kuwa ataendelea na ujenzi wa makanisa na kile alichotaja kama kumtolea mungu licha ya kukashifiwa vikali. Akizungumza kanisani AIC, eneo la Jericho Rais Ruto aliwakosoa wanaopinga ujenzi wa makanisa ,katika ibada hiyo wandani wa rais waliendelea kushambulia maaskofu wanaoikosoa serikali huku wakitetea bima ya SHA