Rais Ruto ataka viongozi kusahau yaliyotokea siku chache zilizopita na kuhudumia wakenya

  • | K24 Video
    943 views

    Baada ya kungatuliwa uongozini kwa aliyekuwa naibu wa rais Rigathi g\Gachagua, rais William ruto sasa anataka viongozi kusahau yaliyotokea siku chache zilizopita na kuhudumia wakenya bila siasa zozote. Rais William Ruto amesema ajenda kuu na sababu za kushikana mkono na kinara wa Azimio Raila Odinga ni kuunganisha wakenya bila kuzingatia muegemeo wa kisiasa. Rais ametetea vikali mfumo mpya wa bima ya afya ya shif akidai italeta usawa katika utoaji wa hudumaza afya.