Kiongozi wa vijana katika chama cha Wiper Patriotic Front eneo la Nyali, gatuzi la Mombasa Bethwel Washingtone sasa anamtaka rais William Ruto kuwajibikia matamshi ya 'uchochezi' ya gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga ambaye mapema wiki hii alinaswa katika video akidhihaki kifo cha aliyekuwa kiongozi wa ODM na waziri mkuu wa zamani hayati Raila Odinga.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya