Rais Ruto atoa ahadi ya kununua mashine itakayopika chapati milioni moja

  • | TV 47
    111 views

    Rais Ruto atoa ahadi ya kununua mashine itakayopika chapati milioni moja

    Rais William Ruto leo ameendeleza ziara yake katika kaunti ya Nairobi na kutetea ushirikiano wake na kinara wa odm raila odinga.

    Rais Ruto ametoa ahadi kockocho ikiwemo kumsaidia gavana wa Nairobi Johnson Sakaja kununua mashine ambayo itatengeneza chapati milioni moja katika mpango wa dishi na kaunti.

    #TV47Kikao

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __