Rais Ruto na Raila Odinga kutia saini mkataba rasmi wa ndoa yao ya kisiasa

  • | Citizen TV
    34,666 views

    Rais William Ruto Na Kinara Wa Odm Raila Odinga Wanatarajiwa Kutia Saini Mkataba Rasmi Wa Ndoa Yao Ya Kisiasa. Wawili Hao Wanatizamiwa Kuratimu Mikakati Ya Ugavi Wa Nyadhifa Mbalimbali Serikalini, Jambo Ambalo Sasa Litakifanya Chama Cha Odm Kuondoka Kwenye Upinzani Na Kujumuishwa Rasmi Serikalini. Wanahabari Wetu Melita Ole Tenges Na Emmanuel Too Wanafuatilia Matukio Katika Jumbe La Kicc Na Sasa Wanaungana Nasi Mubashara Kw Amengi Zaidi