Rais Ruto: Hii Kenya ni ya watu wote, hakuna mambo ya shares hapa. Kenya ni ya kila mtu. Hakuna ubaguzi. Kama kuna watu wazuri nimeona Kenya hii, ni watu wa Ukambani. Msifanyiwe siasa ya karata. Ukambani haitakaa upinzani tena. Kwa mapenzi ya Mungu lazima tuunde serikali pamoja.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive