Rais Ruto yuko ziarani Pwani kwa wiki moja

  • | KBC Video
    88 views

    Wakenya wamehimizwa kuendelea kujisajili na bima mpaya ya afya ya SHA ili kunufaika na huduma mbalimbali zinazotolewa na mpango huo wa serikali. Akizungumza katika kaunti ya Kwale wakati wa ziara yake ya eneo la pwani, Rais William Ruto alikariri kuwa usajili huo utasiadia serikali kukusanya data muhimu na kuhakikisha inaendana na mahitaji ya wakenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive