Rais Vladimir Putin akaribishwa rasmi Korea Kaskazini

  • | BBC Swahili
    1,615 views
    Rais wa Urusi Vladimir Putin amekaribishwa rasmi na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un baada ya kuwasili nchini humo kwa ziara yake ya kwanza baada ya miaka 25. Vyombo vya habari nchini humo vinaripoti kuwa viongozi hao wawili walijadili namna ya kuimarisha mahusiano na kile wanachokitaja kubadilishana mawazo. #bbcswahili #urusi #koreakaskazini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw