- 2,431 viewsDuration: 2:55Rais William Ruto anatimiza miaka mitatu tangu alipokula kiapo cha urais na kupokezwa ala za uongozi wa nchi. Akiangazia uongozi wake hadi sasa, Rais Ruto amesifia utendakazi wake na kusema kwamba anaongoza nchi ipasavyo. Aidha ametaja kuimarika kwa uchumi, kushuka kwa gharama ya maisha, kuimarika kwa kilimo, bima ya matibabu ya SHA, na mradi wa nyumba kama mafanikio yake katika miaka hiyo mitatu.