- 9,086 viewsDuration: 1:30Rais William Ruto ameendelea kuwarai viongozi wa eneo la Ukambani kumuunga mkono na kushirikiana naye, akisema hatakubali eneo hilo kuendelea kusalia katika upinzani. Akizungumza mjini wote alipoanzia ziara yake ya siku nne katika kaunti tatu za Ukambani: Makueni, Kitui na Machakos, Rais William Ruto aliahidi kuleta maendeleo katika eneo hilo, ikiwemo ujenzi wa mabwawa ya maji .