Rajveer Thethy Aibuka Na Ushindi Kwenye Kitengo Cha 4WD Turbo

  • | TV 47
    3 views

    Rajveer Thethy Aibuka Na Ushindi Kwenye Kitengo Cha 4WD Turbo

    Dereva chipukizi Rajveer Thethy na bingwa wa zamani wa mbio za magari Ian Duncan walishamiri katika raundi ya pili ya mbio za kitaifa za Autocross wikendi iliyopita. Mashindano haya, yaliyovutia madereva 40, yaliandaliwa katika kituo cha twisty two kilichopo kuanti ya Kiambu.

    #UpeoWaTV47 #UkumbiWaSiasa

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __