Ramadhan Kareem : Rais awatakia heri njema waislamu

  • | KBC Video
    168 views

    Huku Waislamu kote duniani wakijiandaa kuanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan, Rais William Ruto ametuma ujumbe wa heri njema kwa jamii ya wasilamu kote nchini. Rais Ruto aliwakumbusha waumini kwamba huu ni wakati muhimu wa kutafakari na kujiakisi kiroho, kudumisha nidhamu ya mtu binafsi pamoja na kujitolea kutenda wema.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive