Rigathi Gachagua atarajiwa kufanya mkutano na wafanyabiashara wadogo kutatua utata wa China Square

  • | Citizen TV
    1,992 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua anatarajiwa kufanya mkutano na wafanyabiashara wadogo hapa jijini nairobi, kufuatia utata kuhusiana na duka la China square. Mkutano huu unaofanyika siku moja baada ya mamia ya wafanyibiashara wadogo kutoka Gikonga na Nyamakina kuandamana jijini hapo jana.