Ripoti ya risasi ya mauti yaonyesha Amos Langat aliaga kwa risasi

  • | Citizen TV
    1,839 views

    Alipigwa risasi na mlinzi wa msemaji wa ikulu

    Iliripotiwa kuwa Amos alipigwa risasi mara saba Mshukiwa Mohammed Keinan sasa yuko hospitalini