RUPHA yaridhia uamuzi wa mahakama wa kusitisha utekelezaji wa SHIF

  • | KBC Video
    24 views

    Chama cha hospitali za kibinafsi katika maeneo ya mashinani na miji -RUPHA, kimeunga mkono uamuzi wa mahakama kuu wa kutangaza bima ya afya ya kijamii SHIF kuwa kinyume cha katiba. Chama hicho kinadai kuwa bima hiyo haingekabiliwa na changamoto nyingi hivyo iwapo mashauriano ya kutosha yangefanywa kabla ya kupitishwa kwake. Chama hicho kwa hivyo kimeitaka serikali kufadhili wa bima hiyo ya Shif kutoka kwa pesa za hazina ya NHIF ili kufanikisha mpito wake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive