Skip to main content
Skip to main content

Ruth Odinga, Babu Owino washutumu wawakilishi wadi wa Nairobi kwa kukosa kumuondoa Sakaja ofisini

  • | NTV Video
    1,541 views
    Duration: 1:36
    Mwakilishi mwanamke kaunti ya Kisumu, Ruth Odinga pamoja na viongozi wengine wanaojikita katika upinzani akiwemo mbunge wa embakasi mashariki Babu Owino wameshutumu vikali hatua ya wawakilishi wadi wa Nairobi kusitisha mchakato wa hoja ya kumwondoa Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya