Skip to main content
Skip to main content

Ruto @ 3 : Hazina ya 'Hasla'

  • | Citizen TV
    1,083 views
    Duration: 3:06
    Hazina ya hasla ilizinduliwa ili kuwapiga jeki wananchi wa mapato ya chini na wafanyibiashara wadogo kujiinua kiuchumi. Ni mojawapo ya ajenda kuu za Rais William Ruto ambaye aliwaahidi wananchi kuwa ataweka mpango wa kuwainua kimapato. Miaka mitatu tangu hazina ya hasla kuzinduliwa, jumla ya shilingi bilioni 75 zimekopwa ila kuna tatizo kubwa la pesa hizo kutolipwa.