- 96 viewsDuration: 3:05ZIARA YA RAIS RUTO UKAMBANI Ruto : Naelewa watu wa Ukambani wanahitaji maji. Tumekuwa na shida kidogo ya fedha, lakini nimeongea na Africa Development Bank ambao ni wafadhili wa mradi wa bwawa la Thwake, na wamenihakikishia ya kwamba watapitisha pesa bilioni-9.3 ambazo zitasaidia kukamilisha ujenzi wa bwawa hilo. #KBCniYetu