Skip to main content
Skip to main content

Ruto awaambia upinzani kuacha kubeza serikali, ahahidi Ukambani nafasi serikalini kufikia 2027

  • | Citizen TV
    739 views
    Duration: 1:49
    Rais William Ruto amewataka viongozi wa upinzani kukoma kuipaka serikali yake tope, iwapo hawatashiriki katika juhudi za kuboreshea maisha ya wakenya. Ruto aliyekuwa huko Machakos kwenye ziara yake ya ukambani, pia amewataka wakenya kutoshurutishwa kuwatimua viongozi ambao tayari wanawafikishia maendeleo. Wakati huo huo akiahidi eneo hilo litakuwa serikalini, baada ya uchaguzi wa mwaka 2027