Skip to main content
Skip to main content

Ruto awarai viongozi wa Ukambani kuungana naye, awatupia vijembe wapinzani

  • | Citizen TV
    5,467 views
    Duration: 2:35
    Rais William Ruto amewarai viongozi wa ukambani kuungana naye ili kusaidia kufanikisha maendeleo katika eneo hilo. Akizungumza katika kaunti ya Makueni alipoanza ziara yake ya siku nne leo, rais William Ruto aliwarushia makombora wapinzani wake akisema hawana sera kwa wakenya na kuwa atawalambisha sakafu mapema katika kivumbi cha mwaka wa 2027