Skip to main content
Skip to main content

Ruto : Ili tutatue shida ya ukosefu wa chakula, lazima tutafute fedha tujenge mabwawa 50 kubwa

  • | KBC Video
    132 views
    Duration: 3:05
    ZIARA YA RAIS RUTO UKAMBANI Ruto : Ili tutatue shida ya ukosefu wa chakula, lazima tutafute fedha tujenge mabwawa 50 kubwa, itasaidia kuzalisha chakula kupitia 'irrigation'. Nimeongea na viongozi wengi wakiwemo wabunge, nimewaambia njia ya kusaidia kupata pesa za kutosha ni kutengeneze 'National Infrastructure Fund'