Ruto: Napania kubuni serikali itakayowajumuisha wakenya wote

  • | KBC Video
    1,200 views

    Rais William Ruto amesema baraza lijalo la mawaziri litaakisi sura ya taifa na kuziba pengo la kisiasa. Rais aliyezungumza katika kaunti ya Elgeyo-Marakwet alipokuwa akianzisha na kuzindua miradi ya maendeleo, alisema taifa lazima liwe na amani na umoja ili kukabiliana na changamoto za sasa za kiuchumi. Na kama anavyoripoti Giverson Maina, rais amehimizwa na naibu wake kuwateua watu watakaowatumikia wakenya kwa unyenyekevu na kujitolea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive