- 107 viewsDuration: 2:01ZIARA YA RAIS RUTO UKAMBANI Ruto : Nimeongea na wananchi jinsi ya kuzalisha chakula, nimeongea na wananchi mambo ya kilimo, stima. Nimewahamasisha wanachi wa sehemu hii waelewe serikali ya Kenya imefika wapi na mambo yao ya maendeleo.