Ruto njia Panda

  • | NTV Video
    9,480 views

    Pendekezo la Rais William Ruto katika makubaliano na kiongozi wa upinzani Raila Odinga la kuwa na mfumo mpana wa kisiasa ili kuiondoa nchi katika mzozo wa sasa wa kisiasa limeonekana kuashiria ujio wa serikali ya umoja wa kitaifa. Hili limevutia ukosoaji na upinzani kutoka kwa waandamanaji vijana na baadhi ya viongozi kutoka kwa muungano wa upinzani ambao hawataki chochote kuhusiana na serikali mahuluti.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya